Muhtasari wa Somo
Washiriki watatambua wakati akaunti zao au za watu wengine zinapodukuliwa na kujua ni hatua gani za kuchukua.
Washiriki watatambua wakati akaunti zao au za watu wengine zinapodukuliwa na kujua ni hatua gani za kuchukua.
Tayari?
Anza Somo
Udukuzi ni kuingilia kuusikoidhinishwa akaunti au vifaa vyako. Kuna njia tofauti za udukuzi, ikiwa ni pamoja na ulazimishaji, ulaghai na utapeli, ambazo baadhi yake tutazijadili kwa undani zaidi katik masomo ya baadaye.
Mdukuzi ni mtu anayetumia taarifa zako binafsi kwa malengo yasiyo ya kimaadili. Anaweza kutumia maelezo yako binafsi kudhibiti vifaa vyako, kuunda utambulisho wa uongo, kusakinisha programu hasidi au programu ya kufunga data zako au kusambaza maelezo yako binafsi kwa manufaa yao wenyewe.
Baadhi ya Vitisho
Pindi mdukuzi anapoingilia kifaa chako au akaunti binafsi na taarifa, anaweza kujaribu:
Udukuzi ni hatari kwa usalama kwa akaunti zako mwenyewe na pia akaunti za marafiki, familia na watu wengine unaowasiliana nao mtandaoni. Akaunti zilizodukuliwa zinaweza kusababisha madhara makubwa ya kifedha, lakini pia zinaweza kuwa na athari mbaya kwa sifa yako mtandaoni.
Somo hili litakufundisha kuhusu ishara za onyo kwamba akaunti au kifaa kimeingiliwa. Pia utajifunza hatua za kuchukua iwapo akaunti yako itaingiliwa.
Angalia tabia isiyo ya kawaida
Hatua zako za urejeshaji zitakuwa tofauti kulingana na ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, ni programu gani au kifaa gani kimeathirika na mambo mengine mbalimbali:
1.Wasiliana na mtoa huduma wa akaunti
2.Badilisha nenosiri na mipangilio
3.Toa taarifa kwa wengine
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa