Utangulizi wa Mafunzo ya Kidijitali

Dondoo kwa Mkufunzi

Masomo na mazoezi katika sehemu hii yatawasaidia wanafunzi;
1. Kuelewa intaneti ni nini
2. Kuzifahamu taarifa ambazo zinaweza kusambazwa kupitia intaneti
3. Kujua mbinu tofauti tofauti za kupata taarifa za mtandaoni na
4. Kuyajua manufaa, majukumu na wajibu wa uraia wa kidijitali