Misingi ya Kidijitali

Muhtasari

Masomo na mazoezi ya sehemu hii yatawasaidia wanafunzi kuelewa jinsi ya kuunganishwa na kutumia intaneti pamoja na mifumo mingine kwa njia nzuri. Masomo pia yatawasaidia wanafunzi kulinda data na taarifa zao (pamoja na za wengine) na vifaa na rasilimali za kidijitali.