Mwongozo kwa Wazazi na Walezi

Vifaa

Tumia vifaa vyetu kuanzisha mazungumzo na mtoto wako kuhusu uraia na ustawi wa kidijitali. Zana hizi zitamfundisha mtoto wako kuhusu taarifa, tabia na ujuzi ambao vijana wanahitaji ili kuvinjari kwa usalama intaneti na watumie vifaa vyake kushawishi vizuri ulimwengu unaowazunguka.

Misingi ya Kidijitali

Kumtunza salama mtoto wako mtandaoni kunaanza kwa kumfundisha ujuzi wa msingi wa usalama kama vile jinsi ya kuchagua muunganisho salama wa Wi-Fi jinsi ya kutambua tovuti salama na jinsi ya kutumia mipangilio ya siri.

Jifunze Ziada

Ustawi wa Kidijitali

Kuwa mtandaoni huwapa vijana machaguo mengi sana. Kuwapa ujuzi kama vile kujizuia na ustahimilifu kunaweza kuwasaidia kufanya maamuzi yatakayoleta matokeo mazuri ndani na nje ya mtandao.

Jifunze Zaidi

Kushirikiana Kidijitali

Msaidie mtoto wako ajifunze ujuzi anaohitaji ili kujenga jumuiya jumuishi na zenye heshima na achanganue, kutengeneza na kusambaza maudhui ya aina tofauti ya vyombo vya habari.

Jifunze Zaidi

Uwezeshaji wa Kidijitali

Msaidie mtoto wako ashiriki katika maisha ya umma kwa kutumia nguvu za majukwaa na zana za kidijitali, kama vile mitandao ya kijamii na alama za reli, ili kuathiri maisha yake kwa namna nzuri.

Jifunze Zaidi

Fursa za Kidijitali

Kumuandaa mtoto wako kwa ajili ya ulimwengu wa kidijitali wa kesho kunaanza leo. Msaidie kujifunza ujuzi na maarifa anayohitaji ili kutumia fursa zinazoweza kupatikana katika ulimwengu wa kidijitali.

Jifunze Zaidi

To help personalize content, tailor and measure ads and provide a safer experience, we use cookies. By clicking or navigating the site, you agree to allow our collection of information on and off Facebook through cookies. Learn more, including about available controls: Cookie Policy