Muhtasari wa Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu zana na vipengele mbalimbali vinavyosaidia kutukuza matumizi ya mtandaoni yanayofaa umri fulani.
Wanafunzi watajifunza kuhusu zana na vipengele mbalimbali vinavyosaidia kutukuza matumizi ya mtandaoni yanayofaa umri fulani.
Tayari?
Anza Somo
Tulitambulisha Kituo cha Familia, ambacho ni nyenzo inayowapa wazazi na walezi mwongozo wa kitaalamu, zana za usimamizi na maagizo ya mazungumzo kupitia makala za kutaarifu. Kituvo hiki cha elimu kimeundwa ili kukusaidia kuongoza hali ya sasa ya mtandaoni na kusaidia kuhakikisha muda wa kijana wako mtandaoni ni chanya na wenye msaada zaidi.
Zana za usimamizi wa wazazi huruhusu wazazi na walezi:
Tumeongeza vipengele vingi zaidi, ili:
Tunaamini kwamba kuwa na akaunti za faragha ndiyo njia bora zaidi ya kukaa salama. Kwa kutumia akaunti za faragha, sharti watu watume ombi la kufuata kijana wako au kuona au kutoa maoni kwenye maudhui yake — na sharti vijana wakubali maombi hayo kwanza. Ujumbe wowote watakaopokea utaenda kwenye folda yao ya maombi ya jumbe za faragha.
Ikiwa kijana wako hajatimiza miaka16 na ni mgeni katika Instagram, atawekwa kiotomatiki katika akaunti ya faragha. Ikiwa hajatimizamiaka 16 na tayari yuko Instagram, tutamtumia (au tayari tumemtumia) arifa ya kumkumbusha kuhusu manufaa ya akaunti ya faragha na kumhimiza kubadilisha aina ya akaunti yake.
Ni muhimu sana kufikiri kuhusu ufaragha kwa mantiki, hata ikiwa vijana wataamua kutumia akaunti iliyo wazi kwa umma.
familycenter.meta.com/education
Hongera!
Umekamilisha Moduli
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa