Muhtasari wa Somo
Washiriki watajifunza jinsi ya kutambua utapeli na ulaghai wa kawaida mtandaoni, ikiwa ni pamoja na viashiria vya utapeli, Hadaa Mtandaoni na ulaghai mwingine wa mtandaoni.
Washiriki watajifunza jinsi ya kutambua utapeli na ulaghai wa kawaida mtandaoni, ikiwa ni pamoja na viashiria vya utapeli, Hadaa Mtandaoni na ulaghai mwingine wa mtandaoni.
Tayari?
Anza Somo
Kutumia mtandao kununua bidhaa na kuwasiliana na watu kunaweza kufurahisha, kupunguza gharama na njia rahisi zaidi ya kufanya mambo mbalimbali. Ingawa mwingiliano na mawasiliano haya mtandaoni yanaweza kufurahisha na kurahisisha maisha, ni muhimu kufahamu kwamba sio watu au mawasiliano yote ni mema. Somo hili litakusaidia kujifunza kutambua tabia ya mtumiaji inayoweza kuwa ya ulaghai au utapeli.
Utapeli ni vitendo vya kihalifu vinavyoweza kutumiwa kulaghai mtu atoe pesa au taarifa za siri.
Ulaghai unaweza kutokea kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupitia programu za mahusiano mtandaoni, barua pepe, tovuti za mitandao ya kijamii, simu, SMS na hata barua za kawaida au nyaraka zingine.
Utapeli wa mara kwa mara mtandaoni
Katika sehemu hii, utajifunza kwa kina kuhusu aina za utapeli zinazotumika mara kwa mara. Pia utajifunza mbinu muhimu za kugundua utapeli na nini cha kufanya unapokutana na mojawapo ya njia hizi mtandaoni.
Hadaa Mtandaoni ni aina ya ulaghai unaowalaghai watu kutoa taarifa binafsi au zile zinatotumika kuingia katika akaunti zao. Hadaa Mtandaoni inaweza kuja kwa njia ya barua pepe, SMS, simu na posti za mitandao ya kijamii. Ujumbe au barua pepe hizo zinaweza kuonekana kana kwamba zimetoka kwa kampuni halisi unayoijua au kuiamini kama vile benki, duka la mtandaoni, tovuti ya mtandao ya kijamii, kampuni ya usafirishaji vifurushi au idara ya serikali. Hadaa Mtandaoni inayofanywa na maandishi kwa kawaida hujulikana kama 'smishing', na kwa simu kama 'vishing.'
Ujumbe wa Hadaa Mtandaoni unaweza kutumia njia zifuatazo kuwashawishi watu kubofya kiungo, kufungua kiambatisho au kutoa taarifa binafsi au zile zinatotumika kuingia katika akaunti zao:
Urubuni ni pale tapeli ni anafungua akaunti au utambulisho bandia ili kuwaHadaa Mtandaoni watu waamini kuwa wanazungumza na mtu halisi.
Baadhi ya ishara kwamba ujumbe unaweza kuwa ni ulaghai wa kuhadaa Mtandaoni ili kupata maelezo ya binafsi ni:
Baadhi ya utapeli wa kifedha wa mara kwa mara ni pamoja na:
Katika utapeli huu, mara nyingi mtu anayedai kuwa ni mtumishi wa taasisi ya fedha au serikalini atawasiliana nawe. Anaweza kutumia simu, SMS, barua pepe au kukuachia ujumbe unaosema kwamba unadaiwa kodi au pesa nyinginezo. Pia, anaweza kusema kwamba usipolipa deni lililosalia mara moja, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yako. Ifuatayo ni orodha ya utapeli wa mara kwa mara lakini utapeli mpya hutokea mara kwa mara, hivyo unapaswa kuwa makini kila wakati.
Baadhi ya utapeli wa mara kwa mara wa kifedha:
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa