Muhtasari wa Somo
Washiriki watakubali michango ya wengine kama waundaji wa maudhui na kushiriki katika jumuiya za mtandaoni ipasavyo.
Washiriki watakubali michango ya wengine kama waundaji wa maudhui na kushiriki katika jumuiya za mtandaoni ipasavyo.
Tayari?
Anza Somo
Njia moja ya kushiriki katika jumuiya za mtandaoni ni kwa kuunda maudhui yako mwenyewe na kuyasambaza kwa wengine. Kama vile kulivyo na sheria za kile kinachoweza na kisichoweza kuchapishwa pia kuna sheria za kuunda maudhui mapya. Katika somo hili, utajifunza jinsi ya kuunda na kusambaza maudhui ipasavyo na kuwataja watayarishaji wengine wa maudhui pale inapohitajika.
Hakimiliki(Copyright) ni haki ya kisheria ambayo "inalinda kazi asili za uandishi," ikijumuisha zifuatazo:
Alama ya biashara ni muundo, kauli mbiu au ishara inayowakilisha bidhaa au huduma inayotolewa na mtu binafsi, kikundi au shirika (kama vile jina la biashara au nembo). Lengo la sheria za chapa ya biashara ni kuweka wazi uhusiano wa bidhaa na kupunguza mkanganyiko miongoni mwa watumiaji.
Haki za uvumbuzi husaidia watu binafsi, vikundi au mashirika kulinda chapa asili, bidhaa, huduma na kazi za sanaa au media ambazo waliunda au kumiliki.
Kupitia haki za uvumbuzi, watayarishi na wachapishaji wana haki ya kusambaza kazi zao wakati na jinsi watakavyochagua. Pia wana haki ya kudhibiti jinsi kazi yao inasambazwa na kutumiwa na wengine. Ukiukaji wa haki miliki huathiri vibaya haki ya mtu binafsi au shirika lililounda au kumiliki kazi hiyo. Katika baadhi ya matukio, inaweza pia kusababisha hatua za kisheria.
Leseni ya Ubunifu kwa umma inaruhusu watayarishaji kuipa kazi yao leseni ya bure na ya wazi zaidi ndani ya viwango tofauti vya udhibiti wa hakimiliki. Leseni za Ubunifu kwa wote huhakikisha watayarishaji wanapata sifa zao kwa maudhui waliyotengeneza na kusaidia watayarishaji kudhibiti jinsi kazi yao inavyotumika.
Leseni za ubunifu kwa umma hutofautiana lakini zinaweza kujumuisha vipengele vifuatavyo:
Kwa maelezo zaidi kuhusu leseni za Ubunifu kwa wote, tembelea tovuti ya Creative Commons.
Matumizi yenye haki ni "makala ya kisheria inayoendeleza uhuru wa kujieleza kwa kuruhusu matumizi yasiyo idhinishwa ya kazi zinazolindwa na hakimiliki katika nyakati fulani." Mifano ya matumizi ya haki ni pamoja na:
Unapotathmini mahali pa matumizi yenye haki, jiulize maswali yafuatayo:
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa