Muhtasari wa Somo
Washiriki watajifunza jinsi ya kulinda faragha yao binafsi na jinsi ya kulinda faragha na usalama wa wengine.
Washiriki watajifunza jinsi ya kulinda faragha yao binafsi na jinsi ya kulinda faragha na usalama wa wengine.
Tayari?
Anza Somo
Taarifa binafsi unazochagua kuposti mtandaoni zinaweza kuwa sehemu ya sifa na utambulisho wako mtandaoni. Ni muhimu kufikiria kile unachoposti kukuhusu wewe kinaweza kumaanisha nini kwa wengine. Pia ni muhimu kufikiria kuhusu faragha ya watu wengine na jinsi unavyowasiliana nao kupitia mitandao ya kijamii.
Faragha ni ya binafsi na inaweza kutofautiana kulingana na mapendeleo ya mtu binafsi na kanuni za kitamaduni.
Jinsi unavyotafsiri faragha, nini unachoamua kuposti nan ani unayemwambia huathiri sana utambulisho wako mtandaoni. Tutajifunza zaidi kuhusu sifa na utambulisho mtandaoni katika Somo la 3 (Sifa na Utambulisho Mtandaoni).
Mambo binafsi yanaweza kuwa taarifa inayomtambulisha mtu binafsi, hakimiliki na kazi za kibunifu zenye hakimiliki. Hebu tuchunguze maeneo haya kwa undani zaidi.
Taarifa zinazomtambulisha mtu (PII) ni taarifa yoyote inayohusiana na mtu ambayo inaweza kusaidia mtu mwingine kumtambua mtu huyo, iwe moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
Hizi ni baadhi ya taarifa zinazoweza kumtambulisha mtu:
Watu wanaweza kuwa na maoni tofauti kuhusu aina gani za taarifa binafsi wanataka kushirikisha watu wengine na jinsi wanavyotaka zishirikishwe.Kwa mfano;
Kwa kawaida kuna miongozo mipana ya jumuiya inayohusiana na faragha kwa programu nyingi mtandaoni. Haijalishi ni programu gani au tovuti unayotembelea, unapaswa kufahamu kile unachoweza na usichoweza kuchapisha.
Do not post:
1.Maudhui ambayo hushiriki au kuomba taarifa yoyote ya faragha ifuatayo, iwe kwenye Facebook au kupitia viungo vya nje:
2.Rekodi au nyaraka rasmi za taarifa za usajili wa raia (ndoa, kuzaliwa, kifo, mabadiliko ya jina au utambuzi wa kijinsia, na kadhalika)
3.Hati za uhamiaji na hali ya kazi (kwa mfano, kadi za kijani, vibali vya kufanya kazi, visa, au karatasi za uhamiaji)
4.Leseni za udereva au sahani za leseni
5.Nambari ya Faragha ya Mkopo (CPN)
6.Barua pepe zilizo na nywila.
7.Vitambulisho vya kidijitali vilivyo na nywila.
8.Nywila, pini au misimbo ili kufikia maelezo ya faragha
9.Taarifa zingine za kibinafsi
10.Maudhui yafuatayo pia yanaweza kuondolewa:
Picha au video iliyoripotiwa ya watu ambapo mtu aliyeonyeshwa kwenye picha ni:
11.Kwa Viwango vifuatavyo vya Jumuiya, tunahitaji maelezo ya ziada na/au muktadha ili kutekeleza:
Kuwa mwangalifu unaposhiriki maelezo yanayoweza kumtambulisha mtu na programu mahususi, programu au zana unazotumia. Kuna sababu nyingi ambazo unaweza kuchagua kushiriki maelezo kwa madhumuni tofauti: kufanya ununuzi, kusherehekea hatua muhimu au kukuza biashara. Unaposhiriki maelezo, hakikisha kuwa yanalingana na kiwango chako cha faraja kulingana na faragha yako. Katika sehemu ya baadaye, utajifunza zaidi kuhusu mikakati mahususi ya kukaa salama mtandaoni.
Baadhi ya watu wana utayari zaidi kutoa taarifa binafsi katika hali fulani. Kwa mfano, mtu anaweza kujisikia vizuri kutoa maelezo katika mawasiliano ya mtu binafsi kwa mpokeaji anayeaminika kupitia barua pepe au ujumbe uliosimbwa (kwa maelezo zaidi kuhusu usimbaji fiche, rejea Somo la Usalama). Hata hivyo, inaweza kuwa ngumu kwa mtu yule yule, kutoa taarifa zile zile kwenye kwenye wasifu wa mitandao ya kijamii, au kuuchapisha kwenye mijadala ya kikundi. Katika mijadala hiyo ya umma, taarifa ambayo inaweza kuchukuliwa kuwa ya faragha sasa inasambazwa kwa umma kwa urahisi zaidi.
Neno "maelezo ya kibinafsi yanayotambulika" linaweza pia kurejelea taarifa za watu walioaga dunia ambapo hii inahitajika chini ya sheria zinazotumika za faragha na ulinzi wa data.
Chukua dakika moja sasa kunakili viungo hivi chini ili uweze kukagua hivi baadaye au kuvirejelea inapohitajika. Nitapitia kiwango cha jumuiya na wewe sasa haraka pamoja.
Kwa waathiriwa wa mauaji na kujiua, tutaondoa maudhui yafuatayo yakionekana kwenye picha ya wasifu ya marehemu, picha ya jalada, au kati ya machapisho ya rekodi ya matukio ya hivi majuzi yanapoombwa na mtu aliyerithiwa au mwanafamilia wa marehemu:
Kwa waathirika wa mauaji, pia tutamwondoa aliyetiwa hatiani au anayedaiwa kuwa muuaji kutoka kwa wasifu wa marehemu ikiwa inarejelewa katika hali ya uhusiano au kati ya marafiki.
Kwa Viwango vifuatavyo vya Jumuiya, tunahitaji maelezo ya ziada na/au muktadha ili kutekeleza:
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama Ukurasa