Muhtasari wa Somo
Washiriki watajifunza jinsi ya kudhibiti jinsi maelezo ya binafsi yanayotambulika yanavyoshirikiwa kwenye Mtandao.
Washiriki watajifunza jinsi ya kudhibiti jinsi maelezo ya binafsi yanayotambulika yanavyoshirikiwa kwenye Mtandao.
Tayari?
Anza Somo
Zaidi ya taarifa za binafsi zinazokutambulisha, unapaswa pia kufahamu ni taarifa gani nyingine unazoposti mtandaoni. Ni muhimu kufanya maamuzi sahihi kuhusu wapi, lini na kwa madhumuni gani unaposti taarifa zako kwa kutumia zana zinazofaa za faragha.
Ni maelezo gani unayochapisha kukuhusu na maelezo unayoshiriki kutoka kwa vyanzo vingine huchangia kwenye nyayo zako za kidijitali (angalia somo la Utambulisho na Sifa Mtandaoni).
Baadhi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii hukuruhusu "kuingia" au kuongeza eneo ulipo unapoposti chapisho lako. Hili linaweza kuwa eneo mahsusi (kama ukumbi wa muziki, mgahawa au uwanja wa michezo) au kwa ujumla zaidi (kama jiji au mtaa).
Majukwaa mengi ya mitandao ya kijamii pia huruhusu kuweka tagi za picha. Hii huongeza eneo kwenye picha kulingana na mahali ilipopigwa na inaweza kuhitaji uruhusu kwenye mpangilio wa ramani ili kubainisha maeneo mahsusi.
Zingatia sio tu mipangilio yako ya faragha bali pia mipangilio ya faragha katika maeneo mengine unapochangamana na watu mtandaoni, kama vile katika maeneo yafuatayo:
Unaweza kufurahishwa na taarifa binafsi unapoiweka mtandaoni, lakini vipi kama mtu mwingine atapost picha yako ambayo hukumruhusu?
Programu nyingi zina vipengele vya kukuruhusu na kudhibiti ni nani anayeweza kuona picha zako.
Katika sehemu hii utajifunza kuhusu kuheshimu faragha ya wengine unapochapisha au kusambaza maudhui mtandaoni.
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa