Muhtasari wa Somo
Mshiriki atachunguza aina tofauti za data ya kibinafsi na maelezo ambayo yanaweza kushirikiwa mtandaoni, hasa kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Mshiriki atachunguza aina tofauti za data ya kibinafsi na maelezo ambayo yanaweza kushirikiwa mtandaoni, hasa kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Tayari?
Anza Somo
Faragha kwa ujumla humaanisha uhuru dhidi ya kuingiliwa mambo yako. Hata hivyo, hutofautiana sana kulingana na mtu mwenyewe na muktadha wa kiutamaduni
Faragha inajumuisha haki ya mtu kudhibiti wakati na jinsi taarifa zake binafsi zinavyosambazwa. Faragha pia inahusisha nani anayesambaza taarifa hizo na jinsi zinavyotumiwa na serikali, makampuni na/au watu wengine.
Mtandaoni, faragha inajumuisha haki ya mtu kudhibiti taarifa binafsi na maudhui ya kidijitali
Huduma nyingi za mtandaoni zina sera za faragha zinazotoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa ya mtu binafsi inayokusanywa na jinsi taarifa hiyo itakavyotumiwa. Kwa huduma nyingi, unahimizwa kusoma sera, kanuni na masharti haya na ukubaliane nazo kabla ya kujisajili.
Zaidi ya hayo, watu wanaweza kuwa na mawazo tofauti kuhusu faragha inapohusiana na aina mahususi ya taarifa binafsi au kundi fulani la kijamii.
Unapoendelea kujifunza sehemu hii, fikiria kuhusu ufafanuzi wako binafsi wa faragha. Utakuwa na fursa mwishoni mwa somo kutafakari mada hii.
Hongera!
Umekamilisha Somo
Wanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.
Tazama UkurasaWanafunzi watafikiria na kuandika kuhusu jinsi maisha yao yatakavyokuwa miaka 40 kutoka sasa.
Tazama UkurasaWashiriki watajifunza jinsi metadata zinavyotumika katika mchakato wa kuthibitisha habari kwa kutazama metadata za picha katika vitazamaji vitatu tofauti vya metadata.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu na kutambua njia ambazo aina tofauti za vyombo vya habari zinaweza kutumiwa ili kuwahamasisha watu kuhusu suala fulani.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza jinsi ya kubuni mpango wa awali wa kampeni zao wenyewe za utetezi.
Tazama UkurasaWanafunzi watafanya kuorodhesha maadili kulingana na umuhimu wake.
Tazama UkurasaWanafunzi watajifunza kuhusu maana ya uthibitishaji wa taarifa na kwa nini ni muhimu kwa wapokezi wa habari kuthibitisha habari wanazosoma au kutazama.

Tazama Ukurasa